WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

Popular Posts

Friday, April 29, 2011

MAN UTD WAJIANDAA KUISAMBARATISHA ARSENAL JUMAPILI

Klabu ya Manchester United ya England wanajiandaa kuhakikisha wanachukua point zote 3 katika dimba la Emirates siku ya jumapili May 1 ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa kombe la Barclays msimu huu wa 2010/11. Kurejea kwa Berbatov, Rafael na Fletcher kumerudisha matumaini ya kikosi hicho huku kocha Sir Alex Ferguson akisisistiza ushindi ni muhimu kama wanataka kutwaa ubingwa.

PICHA ZA KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED KATIKA MAZOEZI

 Man Utd training
Golikipa Edwin van de Sar katika mazoezi
 Man Utd training
Mr Reliable Ji Park Sung na Nani katika Mazoezi
 Man Utd training
Anderson akijifua tayari kwa mchezo wa Jumapili

 Man Utd training
Kocha Alex Ferguson akizungumza za Rooney na Schooles
 Man Utd training
Kikosi cha Man Utd wakijifua


Thursday, April 28, 2011

VOTE BAVUMA FOR CHANGE IN TUDARCO

Uchaguzi wa serikali ya wanafunzi katika chuo cha Tumaini tawi la Dar es salaam unatarajiwa kufanyika tarehe 5 May 2011, ikiwa kama mwanafunzi wa Tumaini tunaomba kura yako ili kuleta maendeleo na mabadiliko katika chuo chetu.

BARCA YA IADHIRI MADRID

Mabingwa wa samba barani Ulaya, timu ya Barcelona F.C jana usiku waliwaadhiri watani wao wa jadi timu ya Real Madrid kwa kipigo cha magoli mawili kwa bila katika dimba la Santiago Bernabeu, huku mchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo Lionel Messi akiendeleza rekodi yake ya kupachika mabao na kufikisha 52 kwa msimu huu.

JIONEE PICHA ZA WACHEZAJI NYOTA KATIKA HISTORIA ZA EL CLASSICO

 El Clasico meetings

ROMARIO SCORES HAT TRICK TO HELP BARCA WIN 5-0 IN 1993 El Clasico meetings
WACHEZAJI WA REAL WAKISHANGILIA USHINDI DHIDI YA BARCA
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings

 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings

 El Clasico meetings
 El Clasico meetings

 El Clasico meetings

 El Clasico meetings

 El Clasico meetings

 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings
 El Clasico meetings