WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
September
(8)
- SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MIGOMO NA MAANDAMANO VYUO...
- GOOD NEWS FOR FACEBOOK USERS- Facebook CEO Mark Zu...
- Kuuliza sio ujinga, labda naona ufahamu wangu ni m...
- No title
- Liverpool 2 - 0 Wolves FT, Arsenal 3 - 0 Bolton FT...
- Arsenal 1 - 0 Bolton 46'
- Chelsea 2 - 0 Swansea HT, Arsenal 0 - 0 Bolton HT,...
- Matokeo ya Uchaguzi wa Zambia yanatufunza nini?
-
▼
September
(8)
Popular Posts
-
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari hasa kwa wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni. Mvua hizo zilizoa...
-
Sunday, 13 February 2011 14:03 digg CCM Secretary-General Yusuf Makamba By Bernard James The Citizen Reporter Dar es Salaam. The C...
-
If you are struggling with low self esteem you can boost self esteem and improve self confidence. I like to share how to apply my personal e...
-
The 5,000 sq ft home includes a saltwater pool, glassed in sunroom, outside fireplace, 5 bedrooms and 5 baths ... but no apparent grotto,...
OTHER BLOG LIST
Wednesday, September 28, 2011
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MIGOMO NA MAANDAMANO VYUO VIKUU. Serikali imeonya kwamba haitavumilia na kutishia kufuta uhamini wa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini watakaoshiriki kwenye migomo na maandamano kwa sababu zisizo na msingi. Msimamo huo ulitolewa mapema wiki hii na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dk. Shukuru Kawambwa alipozungumza na jamii ya Chuo kikuu cha Tumaini Makumira wakati wa ziara ya kujifunza shughuli, utendaji na changamoto zinzovikabili vyuo vikuu nchini. Alisema msimamo huo wa Serikali unaotokana na dhamira ya kuboresha mfumo wa elimu ya juu nchini uliosababisha wizara yake kutengewa 300 bilioni kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment