MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE. BE BLESSED
Kuuliza sio ujinga, labda naona ufahamu wangu ni mdogo kwa kuwa tofauti na mtazamo wa Baraza la Mitihani. Wenzangu mnaonaje eti kuwa na maswali ya Hisabati ya kuchagua? Kama ilvyokuwa kwa mitihani ya darasa la 7 mwaka huu? Tulielekea katika mitihani ya kidato cha 4
No comments:
Post a Comment