Katika hali isiyo ya kawaida Chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es Salaam wamemzuia kufanya mitihani kwa kutomtambua huku akidai yeye ni mwanafunzi halali wa chuo hicho na alipelekwa kihalali chuoni hado na taasisi ya udahili TCU, katika hali isiyo ya kawaida Jerry Muro amezuiwa kufanya mitihani siku ya leo iliyokuwa ikiendelea kutokna na tatizo hilo huku akidai wamemzuia kwa sababu za kisiasa. hakuweza kupatikana
kuzungumzia sakata hili
No comments:
Post a Comment