| Beckham akishangilia goli lililoiondoa Argentina katika 16bora za World Cup 2002 |
| Beckhamakimpa moyo David Seaman baada ya kuondoshwa na Brazil katika robo fainali World Cup 2002 |
| Beckham akipaisha penalti dhidi ya Ureno katika EURO 2004 |
| Fabio Cannavaro na kombe la dunia aliloshinda na kikosi cha ITALY 2006 |
| Mchezaji Dean Windass mwenye miaka 39 akifunga goli liliwasaidia Hull City kupanda ligi kuu ya England 2008 |
| Tottenham Hotspur wakishangilia baada ya kushinda Carling Cup final dhidi ya Chelsea, 2008 |
| Messi akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Man Utd katika fainali 2009 |
| Ronaldo de Lima akishangilia goli dhidi ya Germany 2002 |
| Steve Mclarren akiwa amepozi baada ya Enland kushindwa kufuzu EURO 2008 |
| Thiery Henry na Robert Pires wa ARSENAL wakiwa na kombe waliloshinda msimu wa 2003/4 bila kupoteza mchezo hata 1 |
| Lennox Lewis akimtwanga Mike Tyson kwa knockout katika raundi ya 8, 2002 |
| Tiger Woods akiwa na kombe lake la US Open 2008 aliloshinda licha ya kuwa alikuwa akiumwa goti |
| Man Utd wakishangilia ubingwa wa UEFA 2008 huko Moscow, Russia |
| Rooney akishangilia baada ya Man Utd kutwaa ubingwa wa Uefa 2008 |
| John Terry wa Chelsea akikosa penalti dhidi ya MAN Utd katika Champions League final 2008 |
| Zidane akitoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya ITALY 2006 |
| Zidane akimtwanga Materazi kichwa katika World Cup Final 2006 |
| Michael Phelps akishangilia baada ya kuweka rekodi ya kutwaa medali 8 za dhahabu katika michuano ya olompiki 2008 |
| Ronaldo na Rivaldo wakishangilia ushindi wa World Cup 2002 huko JAPAN |
| Ricky Hatton akipewa kichapo na Floyd Maywether mwaka 2007 |
| Beckham akishangilia goli la free kick dakika za mwishoni dhidi ya Greece lililowapa nafasi ya kushiriki World Cup 2002 |
| Lewis Hamillton dereva mdogo zaidi kushinda mbio za Formula 1 duniani, 2008 |
| Moja ya matokeo ya kushangaza ilikuwa ni England kuchapwa 5 - 1 na Germany 2001 |
| Raphael Nadal wa Spain moja ya wachezaji bora wa TENNIS |
| Liverpool wakishangilia ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2005 |
| Jerzy Dudek akiokoa penalti ya Adrily Shevchenko wa AC Milan wakati huo |
| Roger Federer mchezaji TENNIS wa Uswisi |
| Usain Bolt wa JAMAICA katika Olimpiki aliweka rekodi ya dunia kwa mita 100 na 200 |

No comments:
Post a Comment