Msanii maarufu wa kundi la Tiptop Connection maarufu kwa jina la Tundaman au Mikidadi amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani toka Kahama kuelekea Shinyanga kwa ajili ya Shoo.
Tundaman amesema chanzo cha ajali hiyo ni kutokana na kuchoka kwa dereva ambae alianza kusinzia na kusababisha gari yao aina ya Toyota Cresta kupinduka kichwa chini miguu juu.
Katika safari hiyo Tundaman aliongozana na Dj Kman(wa kundi la Tiptop) na dereva ambae alifariki papo hapo. Hali zao zinaendelea vizuri na mungu awape afya njema
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
December
(13)
- CHRISTMASS GIFT: OPEN HERE
- MVUA YAZUA BALAA DAR ES SALAAM
- TAARIFA MAALUM TOKA TANESCO
- RATIBA YA 16 BORA UEFA YATANGAZWA: LOOK DOWN
- BE CARE: WATU 102 WAFA KWA KUNYWA POMBE YENYE SUMU
- MATUKIO KUMI YAKUKUMBUKWA MWAKA 2011: SOMA HAPA
- 5 FACTS ABOUT FACEBOOK USERS IN tANZANIA
- MISAMIATI 30 ILIKOSA MAJIBU KATIKA MIAKA 50 YA UHURU
- VIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA DIAMOND
- HIVI RAIS YUPO AU AMESAFIRI? NCHI INAONGOZWA NA NANI?
- TUNDAMAN APATA AJALI MBAYA
- MAKUNDI YA EURO 2012 YATANGAZWA. LOOK DOWN
- MR EBBO AFARIKI DUNIA
-
▼
December
(13)
Popular Posts
-
UTAFITI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa muji...
-
Huku hali ikiendelea kuwa tete kwa Chama Cha Mapinduzi sambamba na viongozi wake ambapo wanatafunwa na siasa za makundi, baadhi ya matukio y...
-
Magoli mawili yaliyowekwa kimiani na mshambuliaji wa Barcelona raia wa Chile Alexis Sanchez sambamba na goli murua toka kwa mchezaji bora wa...
-
The Football Association have confirmed that Fabio Capello has resigned as England manager. The Italian tendered his resignation following a...
-
Makundi ya michuano ya Euro 2012 itakayofanyika huko Poland & Ukraine yametangazwa. Makundi hayo ni kama ifuatavyo Group A Poland, Gre...
-
12 World’s weirdest stadiums A lot of stadiums around the world have spectacular designs, like the new World Cup 2010 stadiums in South A...
-
Hii ni orodha ya maneno ambayo yamekosa maana ya moja kwa moja na yametesa sana vichwa vya watanzania. 1. Kuchakachua 2. Mchakato 3. Uwek...
-
Naukumbuka wimbo mmoja wa taarab unaimbwa "Jahazi likikosa nahodha chombo huenda mrama". Haya ndiyo yanayoendelea sasa hapa nchini...
-
Lokomotiv 2-1Bilbao FT AZ Alkmaar 1-0 Anderlecht FT Ajax 0-2 Man Utd FT Lazio 1-3 Atletico M FT Legia Warsaw 2-2 Sporting FT Plzen 1-1 ...
OTHER BLOG LIST
Saturday, December 3, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizi ajali zitaisha lini cjui
ReplyDelete