Klabu ya Manchester United ya England wanajiandaa kuhakikisha wanachukua point zote 3 katika dimba la Emirates siku ya jumapili May 1 ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa kombe la Barclays msimu huu wa 2010/11. Kurejea kwa Berbatov, Rafael na Fletcher kumerudisha matumaini ya kikosi hicho huku kocha Sir Alex Ferguson akisisistiza ushindi ni muhimu kama wanataka kutwaa ubingwa.
PICHA ZA KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED KATIKA MAZOEZI
|
Golikipa Edwin van de Sar katika mazoezi |
|
Mr Reliable Ji Park Sung na Nani katika Mazoezi |
|
Anderson akijifua tayari kwa mchezo wa Jumapili |
|
Kocha Alex Ferguson akizungumza za Rooney na Schooles |
|
Kikosi cha Man Utd wakijifua |
No comments:
Post a Comment