Mtangazaji wa televisheni ya ABC nchini Marekani Danny Cliff amejitangaza kuwa yeye ni shoga katika taarifa ya habari ya kituo hicho ambapo yeye ndie alikuwa msomaji.
Hali hiyo ya kushangaza iliwaacha wengi vinywa wazi kwani ni jambo ambalo hawakulitegemea, Danny ambae swala la yeye kuwa shoga lilikuwa likifahamika na ndugu na marafiki wa karibu amesema ameamua kuchukua uamuzi huo kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kinyanyasaji vinavyowakumba baadhi ya mashoga duniani kote na akitolea mfano wa mwanafunzi mwenye miaka 14 aliyejiua huko Marekani baada ya wanafunzi wenzie kuwa wanamwandama na kumnyanyasa baada ya kujitangaza hadharani kuwa ni shoga.
Hivi karibuni ambapo shoga mmoja aliomba haki zao kutambuliwa katika jamii na katiba mpya iwafikirie kama sehemu ya jamii katika kongamano la jinsia lililoandaliwa na TGNP na pia shoga mwingine maarufu hapa nchini maarufu kama Aunt Suzy alijitangaza hadharani katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm ambapo pia baada ya hapo alipata shambulio toka kwa mwanaume aliyekuwa anaishi nae.
Tutafika kweli? Hii inaashiria nini? Je tuwatambue hawa kama moja ya wanajamii?
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
October
(18)
- MAKALI YA MGAO WA UMEME KUREJEA UPYA: WAZIRI WA FE...
- ZITTO AHAMISHIWA ICU:ANA VIJIDUDU 150 VYA MALARIA,...
- BASI LA SUMMRY TOKA DAR-DOM LAPATA AJALI MBAYA, JI...
- WATATU WAFA KWA KIPIGO CHA POLISI DODOMA: NANI ANA...
- NANI ANAWAPA POLISI NGUVU YA KUPIGA RAIA NA KUHARI...
- KILICHOMTOKEA JK UDSM NI HALALI KABISA:NCHI INANUKA
- GHADDAFI ADAIWA KUKAMATWA NA MAJESHI YA NATO
- SHAME: JK AZOMEWA NA WANAFUNZI WA UDSM
- MTANGAZAJI AJITANGAZA SHOGA KWENYE TAARIFA YA HABARI
- USHAURI WA BURE KWA SERIKALI
- MITAMBO MIPYA YA AGGRECO YAPATA HITILAFU KUBWA
- LETS FIGHT AGAINST MALARIA: Miss Mtwara 2011/12 af...
- KADA WA CCM ATAMANI UPINZANI USHINDE MWAKA 2015: A...
- CHRISS BROWN ANG'AA KATIKA BET 2011 AWARDS
- MSHINDI WA BSS APATIKANA
- TUTAFIKA KWELI KWA KAULI ZA VIONGOZI? - Dr H.K Kin...
- CCM WASHINDA KWA TABU iGUNGA Chama Cha Mapind...
- http://www.mwananchi.co.tz/
-
▼
October
(18)
Popular Posts
-
1 Going straight for the naughty bits You've got to be sensitive to the fact that a woman is more likely to be irritated than aroused...
-
Before you make an attempt to stop masturbating, there’s an important issue to deal with first. This issue is important because masturbatio...
-
Animals are such agreeable friends – they ask no questions, they pass no criticisms.”
-
Huku hali ikiendelea kuwa tete kwa Chama Cha Mapinduzi sambamba na viongozi wake ambapo wanatafunwa na siasa za makundi, baadhi ya matukio y...
-
Msanii maarufu wa kundi la Tiptop Connection maarufu kwa jina la Tundaman au Mikidadi amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani toka Kahama k...
-
Pink Hummer Limo Three TVs, laser lights , strobes, 1800 watt sound system, Disco Floor, star lights, optic lights, pink leather interior, ...
-
Balozi wa Uingereza hapa nchini amesema kama Serikali ya Tanzania haitakubaliana na sera za Chama cha Conservative nchini kwao kilichochini ...
-
Majambazi yaliyokuwa na silaha nzito yamevamia katika kituo cha mafuta cha TOTAL kilichopembeni ya Mlimani City Supermarket na kupora mamili...
OTHER BLOG LIST
Thursday, October 20, 2011
MTANGAZAJI AJITANGAZA SHOGA KWENYE TAARIFA YA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tatizo binadamu tunapenda sana kuhukumu... aliyemuumba hajamua kumtengenezea dunia yake peke yake wala kumtenga, ila wewe kwa ubinafsi wako kisa tu hajaumbwa kama wewe basi utataka umtenge na kumyanyasa...si kazi yetu kuhukumu kwa sababu na sisi tunamapungufu yetu makubwa zaidi kuliko wao na hakuna anayetutenga.
ReplyDeleteMbona sioni wanaume wakiwanyanyapaa na kuwatenga wasichana waliotoa mimba...hilo si kosa la mauaji? Si amepunguza nguvukazi ya taifa? Huyo kwa ushoga wake, kamdhuru nani? Si bado anajenga taifa- anafanya kazi, analipa kodi, na nanaishi kama watu wengine ila tofauti ni kuwa hapendi wanawake kimapenzi bali wanaume?! Ulipokuwa hufahamu ni shoga alikudhuru nini...ila kufahamu tu kuwa ni shoga ghafla kawa mtu mbaya sana?! Tunapoteza muda mwingi sana katika mawazo hasi kuliko chanya!