Meneja mawasiliano wa Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bi Badra Masoud limetoa ufafanuzi kuhusiana na matukio ya kukatika umeme yaliyolikumba jiji la Dar es Salaam kwa siku za jana na leo na kusema hilo limetokana na hitilafu katika vituo vya kusambazia umeme vya Ununio, Kunduchi, Kijitonyama pamoja na Masaki. Amesema mafundi wa umeme wanaendelea na zoezi la kuhakikisha huduma hiyo inarejea kama kawaida.
Bi badra masoud "LIMETOA" mmh uko na hasira!
ReplyDelete