Naukumbuka wimbo mmoja wa taarab unaimbwa "Jahazi likikosa nahodha chombo huenda mrama". Haya ndiyo yanayoendelea sasa hapa nchini. Mambo makubwa mengi yanatokea na kiongozi wa nchi yupo kimya tueleweje?
Tanesco wanampango wa kuongeza umeme mara tatu na hatujaona kauli yoyote toka kwa kiongozi wa nchi kama akivyoahidi ataboresha maisha ya wananchi. Posho zimepandishwa na kwa ujumla sasa mbunge atakuwa akipewa 330,000 kwa siku atakapohudhuria kikao kimoja cha bunge kima ambacho ni mshahara wa mwalimu anaeanza kazi.
Hivi kwa mtindo huu tunategemea maandamano yapungue au kuisha? Maisha yapo juu na mfumuko wa bei umekuwa juu sambamba na kushuka kwa thamani ya shilingi, tulitegemea Rais angetoa tamko la jinsi ya kudhibiti haya yote ila imekuwa kinyume kabisa.
Wananchi inapaswa tuamke sasa na tuchukue hatua, hivi palikuwa na haja gani ya kutumia mamilioni yote hayo kusherekea miaka 50 ya Uhuru? Inamnufaisha nini mwananchi wa kawaida? Miaka 50 ya uhuru ni kwa ajili ya viongozi wanaojiongezea mishahara kila wanapojisikia na ingekuwa heri kama wananchi wangezisusia sherehe hizi za kinafki.
Nchi imeshika nafasi ya tatu kwa kupewa misaada duniani na ya kwanza Afrika, nafasi ya juu kwa rushwa na miongoni mwa nchi 50 maskini zaidi duniani. Kwa mtindo huu kazima tulazimishwe kuukubali ushoga ili tupewe misaada. Tafakari, chukua hatua.....
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
December
(13)
- CHRISTMASS GIFT: OPEN HERE
- MVUA YAZUA BALAA DAR ES SALAAM
- TAARIFA MAALUM TOKA TANESCO
- RATIBA YA 16 BORA UEFA YATANGAZWA: LOOK DOWN
- BE CARE: WATU 102 WAFA KWA KUNYWA POMBE YENYE SUMU
- MATUKIO KUMI YAKUKUMBUKWA MWAKA 2011: SOMA HAPA
- 5 FACTS ABOUT FACEBOOK USERS IN tANZANIA
- MISAMIATI 30 ILIKOSA MAJIBU KATIKA MIAKA 50 YA UHURU
- VIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA DIAMOND
- HIVI RAIS YUPO AU AMESAFIRI? NCHI INAONGOZWA NA NANI?
- TUNDAMAN APATA AJALI MBAYA
- MAKUNDI YA EURO 2012 YATANGAZWA. LOOK DOWN
- MR EBBO AFARIKI DUNIA
-
▼
December
(13)
Popular Posts
-
Msanii maarufu wa kundi la Tiptop Connection maarufu kwa jina la Tundaman au Mikidadi amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani toka Kahama k...
-
How to Get Over a Crush: Ten Sensible Tips Things You Can do to help the situation Most everyone has at one time or another had someone th...
-
UTAFITI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa muji...
-
Animals are such agreeable friends – they ask no questions, they pass no criticisms.”
-
The Ten Best Gifts for Men to Give Women Le The Ten Best Gifts for Men to Give Women Let's face it; some gifts ...
-
Mashabiki 74 wamepoteza maisha yao jana mjini Port Said nchini Misri katika mchezo uliozikutanisha timu za Al Masry dhidi ya timu inayoongoz...
-
Mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamakendo anafahamika kwa jina la Maregei Werema amejikata sehemu kubwa ya uume wake na kuuacha ukining'inia ...
-
Mabingwa wa samba barani Ulaya, timu ya Barcelona F.C jana usiku waliwaadhiri watani wao wa jadi timu ya Real Madrid kwa kipigo cha magoli m...
-
Nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry amepokonywa unahodha wa timu ya Taifa kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili kutokana na tu...
OTHER BLOG LIST
Tuesday, December 6, 2011
HIVI RAIS YUPO AU AMESAFIRI? NCHI INAONGOZWA NA NANI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment