Kutokana na mvua kubwa zinazoambatana na Radi zinazoendelea katika jiji la Dar es salaam toka mishale ya saa 10 alfajiri, zimesababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine nguzo za umeme zimedondoka kama eneo la Ubungo na Tabata Segerea jambo ambalo limeilazimu Tanesco kuzima umeme baadhi ya maeneo kuepusha hatari.
Nikizungumza na moja ya wafanyakazi wa kitengo cha mawasiliano asubuhi hii ambae hakuwa tayari jina lake kuwekwa hapa amesema wananchi wanapaswa kutembea kwa makini wakati huu wa mvua na endapo utaona popote ambapo nguzo imedondoka au nyaya kukatika na matatizo mengine ya umeme toa taarifa Tanesco mara moja, ameendelea kusema katizo hili la umeme ni la muda na hali itakapokuwa shwari watashughulikia baadhi ya maeneo yenye matatizo na shughuli zitaendelea kama kawaida.
Tanesco inaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
December
(13)
- CHRISTMASS GIFT: OPEN HERE
- MVUA YAZUA BALAA DAR ES SALAAM
- TAARIFA MAALUM TOKA TANESCO
- RATIBA YA 16 BORA UEFA YATANGAZWA: LOOK DOWN
- BE CARE: WATU 102 WAFA KWA KUNYWA POMBE YENYE SUMU
- MATUKIO KUMI YAKUKUMBUKWA MWAKA 2011: SOMA HAPA
- 5 FACTS ABOUT FACEBOOK USERS IN tANZANIA
- MISAMIATI 30 ILIKOSA MAJIBU KATIKA MIAKA 50 YA UHURU
- VIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA DIAMOND
- HIVI RAIS YUPO AU AMESAFIRI? NCHI INAONGOZWA NA NANI?
- TUNDAMAN APATA AJALI MBAYA
- MAKUNDI YA EURO 2012 YATANGAZWA. LOOK DOWN
- MR EBBO AFARIKI DUNIA
-
▼
December
(13)
Popular Posts
-
Majambazi yaliyokuwa na silaha nzito yamevamia katika kituo cha mafuta cha TOTAL kilichopembeni ya Mlimani City Supermarket na kupora mamili...
-
Asamoah Gyan has decided to take an "indefinite break" from international football. The Black Stars key man sent a letter to the G...
-
Dk. Harrison G. Mwakyembe (Mb), NW-UJ Dar es Salaam18/02/12 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI N...
-
Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata bahati ya moja ya vivutio vyetu vya Utalii na moja ya lebo ya Taifa mlima Kilimanjaro kutajwa kuingia k...
-
Timu za soka zinazotokea katika jiji la London na zilizo katika Big 4 ya ligi kuu ya England zimewaonya mashabiki wake kujiepusha na vitendo...
-
Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchi la Tanzania Abdularahman Shimbo anashikiliwa na polisi wa kimataifa (Interpol) kwa mahojiano zaidi baada ...
-
Jeshi Wananchi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 toka Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Congo walioingia nchini kinyume cha sheria. Msemaji wa...
-
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe jana usiku alihamishiwa katika Kitengo Cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalum (ICU) baada ya ma...
-
Nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry amepokonywa unahodha wa timu ya Taifa kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili kutokana na tu...
OTHER BLOG LIST
Monday, December 19, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment