Huku hali ikiendelea kuwa tete kwa Chama Cha Mapinduzi sambamba na viongozi wake ambapo wanatafunwa na siasa za makundi, baadhi ya matukio yamekuwa yakiibuka ambapo yanawaacha watu midomo wazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwete amezomewa na wanafunzi wa chuo kikuu Dar es Salaam alipodhuru chuini hapo kwa kushindwa kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakumba wanavyuo mbalimbali nchini ikiwamo swala la mikopo sambamba na matatizo mbalumbali yanayoikumba nchi ikiwamo kushuka kwa thamani ya shilingi sambamba na kupanda kwa gharama za maisha na matatizo mengineyo likiwamo la umeme
Mambo yakiwa hayajatulia ndani ya Chama baada ya fukuto la uchaguzi wa Igunga ambapo CCM walishinda kwa tabu japo jimbo lilikuwa mikononi mwao toka mwaka 1994 chini ya Rostam Aziz, tukio jingine lililowashangaza watu ni fujo zilizoikumba UVCCM huko Arusha sambamba na kujisafisha katika vyombo vya habari kwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa huku akitishia atawashtaki wote watakaotumia jina lake vibaya katika vyombo vya habari.
Mmmmmmh hali ni mbaya kwa kweli, hii ni Tanzania tunayoitaka?
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
October
(18)
- MAKALI YA MGAO WA UMEME KUREJEA UPYA: WAZIRI WA FE...
- ZITTO AHAMISHIWA ICU:ANA VIJIDUDU 150 VYA MALARIA,...
- BASI LA SUMMRY TOKA DAR-DOM LAPATA AJALI MBAYA, JI...
- WATATU WAFA KWA KIPIGO CHA POLISI DODOMA: NANI ANA...
- NANI ANAWAPA POLISI NGUVU YA KUPIGA RAIA NA KUHARI...
- KILICHOMTOKEA JK UDSM NI HALALI KABISA:NCHI INANUKA
- GHADDAFI ADAIWA KUKAMATWA NA MAJESHI YA NATO
- SHAME: JK AZOMEWA NA WANAFUNZI WA UDSM
- MTANGAZAJI AJITANGAZA SHOGA KWENYE TAARIFA YA HABARI
- USHAURI WA BURE KWA SERIKALI
- MITAMBO MIPYA YA AGGRECO YAPATA HITILAFU KUBWA
- LETS FIGHT AGAINST MALARIA: Miss Mtwara 2011/12 af...
- KADA WA CCM ATAMANI UPINZANI USHINDE MWAKA 2015: A...
- CHRISS BROWN ANG'AA KATIKA BET 2011 AWARDS
- MSHINDI WA BSS APATIKANA
- TUTAFIKA KWELI KWA KAULI ZA VIONGOZI? - Dr H.K Kin...
- CCM WASHINDA KWA TABU iGUNGA Chama Cha Mapind...
- http://www.mwananchi.co.tz/
-
▼
October
(18)
Popular Posts
-
Jana usiku klabu za Chelsea na Real Madrid zilifuata nyayo za Manchester United, Barcelona, Shaktar Donetsk, Inter Milan, Tottenham Hotspu...
-
Jeshi Wananchi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 toka Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Congo walioingia nchini kinyume cha sheria. Msemaji wa...
-
Majambazi yaliyokuwa na silaha nzito yamevamia katika kituo cha mafuta cha TOTAL kilichopembeni ya Mlimani City Supermarket na kupora mamili...
-
Timu ya Inter Milan ya nchini Italia imeridhia kumuuza kiungo mshambuliaji wa timu hiyo kwa ada ya £25m. Wesley Sneijder ambae amekuwa akiwi...
-
The Church of England has come out in opposition of members of their clergy consecrating the union of the same sex. The govenment announce ...
-
Klabu ya Manchester United ya England wanajiandaa kuhakikisha wanachukua point zote 3 katika dimba la Emirates siku ya jumapili May 1 ili ku...
-
Usajili uliokamilika kwa timu za Uingereza Everton -Nikica Jelavic toka Rangers Tottenham - Louis Saha toka Everton QPR - Djibril Cis...
-
Chama cha soka nchini Uingereza kimetangaza hukumu ya kumfungia Mchezaji wa Manchester City Mario Baloteli kutokana na kitendo chake cha kum...
-
Kinyang'anyiro cha Urais wa mwaka 2015 umeendelea kuwapa tumbo joto baadhi ya vigogo wa CCM huku kila mmoja akitumia kila njia kuhakikis...
OTHER BLOG LIST
Thursday, October 20, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kimya kingi kina mshindo mkuu.....Siku yatakapolipuka yaliyojaa kwenye mioyo ya watanzania wengi ambao ni masikini....Ndipo watakapofunguka mafisadi hawa wanaojilimbikizia mali... Na hawa viongozi ambao hawawezi kuchukua hatua yeyote kwa kuwa nao wametekwa kimaslahi....
ReplyDelete