Mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamakendo anafahamika kwa jina la Maregei Werema amejikata sehemu kubwa ya uume wake na kuuacha ukining'inia sambamba na kuteketeza kwa moto nyumba zake mbili na mali zilizokuwamo ndani.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Mara Robert Boaz alisema Bw Werema alifanya matendo hayo tarehe 11 January baada ya kupandwa na malaria kichwani ambapo kwa sasa amelazwa katika hospitali ya DDH - Mugumu.
Malaria haikubaliki jamani, ukihisi dalili tu wahi mapema kituo cha afya kupima na kupata tiba sahihi ili yasikukute kama haya
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2012
(43)
-
▼
January
(8)
- USAJILI DIRISHA DOGO ENGLAND
- HATIMAYE INTER WARIDHIA KUMUUZA SNEIJDER MANCHEST...
- BALOTELI AMALIZIA HASIRA ZAKE KWA HARRY REDNAPP:AM...
- BALOTELI AFUNGIWA MECHI NNE
- THIERRY HENRY APATA MAJERAHA MAZOEZINI
- AJIKATA UUME NA KUCHOMA NYUMBA MOTO
- MAANDALIZI YA BONANZA LA MICHEZO YA TUMAINI YAEND...
- DIAMOND AHUKUMIWA MIEZI 6 JELA
-
▼
January
(8)
Popular Posts
-
A massive fire has swept through a jail in Honduras, killing at least 300 prisoners, officials say. Many victims were burned or suffocated t...
-
The 5,000 sq ft home includes a saltwater pool, glassed in sunroom, outside fireplace, 5 bedrooms and 5 baths ... but no apparent grotto,...
-
PFA chief executive Gordon Taylor believes it is time for the FA to intervene after Luis Suarez and Patrice Evra failed to shake hands befor...
OTHER BLOG LIST
Thursday, January 12, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment