WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Thursday, March 17, 2011

CHELSEA NA MADRID ZAWA ZA MWISHO KUTIMBA ROBO FAINALI

  Jana usiku klabu za Chelsea na Real Madrid zilifuata nyayo za Manchester United, Barcelona, Shaktar Donetsk, Inter Milan, Tottenham Hotspurs  na Schakle 04 ya ujerumani katika hatua hiyo ambayo droo itachezeshwa hapo baadae, Madrid ilitoka kifua mbele baada ya kuwalaza Lyon kwa 3  kwa 0 katika uwanja wa Santiago Bernabeau baada ya kwenda suluhu katika mchezo wa awali wiki  mbili zilizopita, Real walipata mabao yake kupitia beki wa kushoto Marcelo katika dakika ya 37, mshambuliaji Karim Benzema na Angel di Maria katika dakika ya 76.
    Katika mechi nyingineiliyopigwakatika dimba la Stanford Bridge katika jiji la London Chelsea walibanwa mbavu kwa kwenda suluhu ya bila kufungana na F.C Copenhagen ya Denmark. Chelsea ilipita baada ya kushinda mchezo wa kwanza kwa goli 2 kwa 0.
 Champions League
John Terry akikabana na mchezaji wa F.C Copenhagen
 Champions League
Kikosi cha Chelsea "the blues"
 Champions League
Nicolas Anelka akijaribu kufunga goli
 Champions League
Marcelo akishangilia goli dhidi ya Lyon
 Champions League
Marcelo akishangilia goli
 Champions League
Kocha Jose Mourinho akimpatia maelekezo Benzema
 Champions League
Fernando Torres akijaribu kufunga goli
 Champions League
Angel Di Maria akishangilia goli
 Champions League
Karim Benzema akishangilia goli dhidi ya Lyon


No comments:

Post a Comment