WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Tuesday, February 7, 2012

BARIDI INAYOENDELEA ULAYA YAUA 300

Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 300, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ya kukabiliana na viwango vya baridi ambavyo vimevunja rekodi barani Ulaya..
Baridi hiyo ambayo imefikisha wiki kwa sasa imeleta madhara makubwa barani Ulaya huku nchi za Urusi na Czech zikiwa zimetanda barafu jambo ambalo limesababisha shughuli nyingi kusimama.

No comments:

Post a Comment