Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari hasa kwa wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni. Mvua hizo zilizoanza kunyesha mapema mwezi huu athari zake zimeonekana zaidi katika jiji la
Dar es salaam na Mwanza ambapo baadhi ya familia zimekosa makazi kutokana na hali hiyo.
Dar es Salaam
Mvua hizo ambazo zimeanza kunyesha mfululizo kwa siku tatu athari zimeonekana zaidi katika maeneo yenye mifumo mibovu ya upitishaji maji taka. Maeneo kama Tandale kwa Mtogole, kwa tumbo, Shoppers & My FAIR Plaza mikocheni yamezungukwa na maji kabisa jambo ambalo limefanya wanunuzi wanaotumia usafiri wa pikipiki na waenda kwa miguu kufika kwa tabu. Maeneo mengine yaliyokubwa na mafuriko hayo ni Manzese, kimara sambamba na daraja la mlalakuwa katika barabara itokayo Magomeni kuelekea Kawe.
Mwanza
Katika jiji la Mwanza pia mvua hizo zimesababisha maeneo kadhaa katika jiji hilo mfano Nyegezi, Majengo Mapya na Nyamagana kufurika maji na kubwa zaidi ikiwa ni kujaa kwa maji kwa Uwanja wa ndege jambo lililofanya ufungwe kwa muda usiojulikana.
Tahadhari inahitajika kabla ya majanga kama haya na tunaombwa kuwapa msaada wale walioathiriwa na mvua hizi. Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote inayoyahusisha mafuriko haya na vifo.
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
November
(29)
- MANCHESTER UNITED WATUPWA NJE:CARLING CUP
- BREAKING NEWS; WANNE WAFA KWA AJALI UBUNGO
- 26th Nov; BAADHI YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA ; okoa...
- KUNA UMUHIMU GANI KWA KATIBA YETU KUANDIKWA KWA LU...
- URAIS 2015 WAWACHANGANYA WENGI:TABIRI ZA MASANGOMA...
- HOW TO STOP MASTERBATION ADDICTION
- MOTO MKUBWA WALIPUKA MITAMBO YA UMEME UBUNGO:MITAM...
- BREAKING NEWS: MAFURIKO DAR NA MWANZA
- NCHINI INANUKA:MNADHIMU MKUU WA JWTZ AKAMATWA NA I...
- FROM MOVENPICK TO DAR ES SALAAM SERENA HOTEL:KWELI...
- HIVI NDIVYO ALIVYOLAKIWA PRINCE CHARLES
- POLISI YAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA ARUSHA
- LADY GAGA ATWAA TUZO 4 ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- HUDUMA ZA MAKAMPUNI YA SIMU NCHINI NI MBOVU MNO, T...
- MISS VENEZUELA IVIAN SARCOS ATWAA TAJI LA MISS WOR...
- CHURCH OF ENGLAND OPPOSED TO SAME SEX CIVIL PARTNE...
- EID MUBARAK GREETINGS ALL MUSLIMS: READ THIS
- RAIS KIKWETE AMTEMBELEA VENGU HOSPITALI
- THE MAGICIAN PAGE: KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMB...
- KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMBISHA KICHWA MASHOGA TZ
- BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AIPINGA KAULI YA MEMBE:...
- MLIMA KILIMANJARO KAMWE HAUWEZI KUSHINDA KWA STAIL...
- WAZIRI WA MAMBO YA NJE ATOA KAULI JUU YA MISAADA Y...
- 2.2 BILIONI ZATUMIKA KUWASOMESHA WATATU TCRA NJE K...
- RAIS WA GHANA AIKATAA MISAADA TOKA UINGEREZA YENYE...
- NAMBA ZA KUUPIIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO ZATOLEWA...
- TUNATAKIWA KUUKUBALI USHOGA ILI TUONGEZEWE MISAADA...
-
▼
November
(29)
Popular Posts
-
Haya ndiyo baadhi ya yaliyoamuliwa kuhusu madai ya Madaktari Kwa ufupi, kutoka kwa watu waliokuwemo kwenye mkutano wa Madaktari na Waziri Mk...
-
Leo Mbunge wa Mbozi Geofrey Zambi alitoa hoja ya bunge kujadili suala la mgomo wa madaktari kwa dharura kufuatia taarifa kuwa madaktari bing...
-
The worst part about being president is that you have to act civilized all the time…
-
Jana usiku klabu za Chelsea na Real Madrid zilifuata nyayo za Manchester United, Barcelona, Shaktar Donetsk, Inter Milan, Tottenham Hotspu...
-
Ule mchezo wa kubadili majina kila baada ya miaka kadhaa ikiwa ni janja ya kukwepa kulipa kodi umeendelea kudhihirika mara baada ya hotel ma...
-
Hatimaye serikali kupitia Wizara ya Mali Asili na Utalii imetoa namba maalum ambazo zitawawezesha watanzania kuupigia kura mlima Kilimanjaro...
-
Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 300, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ...
-
Baada ya mchezaji mtukutu wa club ya Manchester City kufungiwa michezo minne na chama cha soka nchini Uingereza FA. Ameendeleza visa vyake k...
-
Asamoah Gyan has decided to take an "indefinite break" from international football. The Black Stars key man sent a letter to the G...
OTHER BLOG LIST
Monday, November 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment