Jeshi Wananchi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 toka Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Congo walioingia nchini kinyume cha sheria.
Msemaji wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kanda ya Kigoma amesema wanajeshi hao toka DRC wameingia nchini kinyume cha sheria kupitia Ziwa Tanganyika wakiwa na boti ambayo walikuwa wakiitumia kuwafukuza waasi.
Wanajeshi hao walikuwa na maguruneti ya kurusha kwa roketi na kiasi kikubwa cha risasi. Toka Alhamisi wanajeshi wengi waasi toka DRC wamekuwa wakiingia mkoani Dodoma kutafuta matibabu huku wakiwa na majeraha makubwa.
Habari zaidi baadae
SERIKALI YAPANGA MABORESHO YA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
20 minutes ago

No comments:
Post a Comment