Kauli iliyotolewa na Waziri mkuu wa Uingereza ya kuzitaka nchi za Africa kuzitambua haki za mashoga huku akibainisha kuwa watasitisha misaada yao kwa wale ambao hawatazingatia hili imepolewa kwa mikono miwili na mashoga wengi hapa nchini.
Wakizungumza na mwandishi wa BBC baadhi ya mashoga wamedai swala hili linapaswa kutazamwa kwa makini kwani wao pia ni sehemu katika jamii na wanapaswa kuheshimiwa na kupatiwa haki kama ilivyo kwa makundi mengine ya kijamii.
Kauli hiyo haitofautiani na kauli iliyotolewa na shoga mmoja maaruru hapa nchini anaefahamika kwa jina la Aunt Abdul alipokuwa alizungumza katika kongamano la jinsia lililoandaliwa na TGNP mwishoni mwa mwezi wa tisa ambapo alidai kuwa mchakato wa katiba mpya unapaswa kuwatambua na wao kama sehemu ya jamii kwani wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya kikatili sambamba na kunyanyaswa ikiwamo kunyimwa huduma muhimu katika jamii akitolea mfano huduma za afya.
Haya sasa wameamka
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
November
(29)
- MANCHESTER UNITED WATUPWA NJE:CARLING CUP
- BREAKING NEWS; WANNE WAFA KWA AJALI UBUNGO
- 26th Nov; BAADHI YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA ; okoa...
- KUNA UMUHIMU GANI KWA KATIBA YETU KUANDIKWA KWA LU...
- URAIS 2015 WAWACHANGANYA WENGI:TABIRI ZA MASANGOMA...
- HOW TO STOP MASTERBATION ADDICTION
- MOTO MKUBWA WALIPUKA MITAMBO YA UMEME UBUNGO:MITAM...
- BREAKING NEWS: MAFURIKO DAR NA MWANZA
- NCHINI INANUKA:MNADHIMU MKUU WA JWTZ AKAMATWA NA I...
- FROM MOVENPICK TO DAR ES SALAAM SERENA HOTEL:KWELI...
- HIVI NDIVYO ALIVYOLAKIWA PRINCE CHARLES
- POLISI YAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA ARUSHA
- LADY GAGA ATWAA TUZO 4 ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- HUDUMA ZA MAKAMPUNI YA SIMU NCHINI NI MBOVU MNO, T...
- MISS VENEZUELA IVIAN SARCOS ATWAA TAJI LA MISS WOR...
- CHURCH OF ENGLAND OPPOSED TO SAME SEX CIVIL PARTNE...
- EID MUBARAK GREETINGS ALL MUSLIMS: READ THIS
- RAIS KIKWETE AMTEMBELEA VENGU HOSPITALI
- THE MAGICIAN PAGE: KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMB...
- KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMBISHA KICHWA MASHOGA TZ
- BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AIPINGA KAULI YA MEMBE:...
- MLIMA KILIMANJARO KAMWE HAUWEZI KUSHINDA KWA STAIL...
- WAZIRI WA MAMBO YA NJE ATOA KAULI JUU YA MISAADA Y...
- 2.2 BILIONI ZATUMIKA KUWASOMESHA WATATU TCRA NJE K...
- RAIS WA GHANA AIKATAA MISAADA TOKA UINGEREZA YENYE...
- NAMBA ZA KUUPIIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO ZATOLEWA...
- TUNATAKIWA KUUKUBALI USHOGA ILI TUONGEZEWE MISAADA...
-
▼
November
(29)
Popular Posts
-
<ul id="gallery" class="noscript"> <li id="picGalleryNoScript_1"> <a href="http://news.bb...
-
Animals are such agreeable friends – they ask no questions, they pass no criticisms.”
-
150 things to do when you're bored This started out as a list just for kids, but I soon realized that most of these activities would be...
-
Meneja mawasiliano wa Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bi Badra Masoud limetoa ufafanuzi kuhusiana na matukio ya kukatika umeme ya...
-
How To Be Creative by ronald Do you ever get asked ‘Where did you get that idea from?’ in any of your projects or pieces of work and yo...
-
PROSTITUTES in Lusaka’s Kanyama, John Laing, Chawama and Kalingalinga compounds offered themselves free of charge to every Jim and Jack as p...
OTHER BLOG LIST
Friday, November 4, 2011
KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMBISHA KICHWA MASHOGA TZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment