Mashindano ya Miss World yaliyokuwa yakifanyika huko jijini London yamekamilika baada ya Miss Venezuela Ivian SARCOS kutwaa taji hilo huku akifuatiwa na Miss Philipines Gwendoline RuAIS na Mrembo toka Puerto Rico Amanda PEREZ akitwaa nafasi ya tatu.
Katika mashindano hayo mrembo pekee alipeperusha bendera ya Bara la Africa vyema ni Miss South Africa aitwae Bokang TONGJANE katika hatua ambayo pia mrembo wa nchi mwenyeji wa Mashindano hayo Alize MOUNTER aliingia.
Tanzania iliwakilishwa na Salha KIFAI ambae hakuambulia chochote na alienguliwa katika hatua za awali
TCCA YAMPONGEZA DKT. NASRA KUSAIDIA SEKTA YA ANGA
13 hours ago

No comments:
Post a Comment