Timu kongwe ya Manchester United imetupwa nje ya michuano ya Carling cup na Timu ya dataja la pili ya Crystal Palace kwa magoli 2 - 1.
Mchezo huo yliochezwa kwenye uwanja wa Old Trafford umeshuhudia Crystal Palace wakipata magoli yao kupitia kwa Darren Ambrosse 65' na jingine katika dakika za nyongeza kupitia kwa Glenn Murray 98' ambapo Manchester United walipata goli kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Federico Macheda 69'.
Haya yamekuwa matokeo mabaya zaidi kwa Manchester a,bao wanaonekana kusuasua baada ya sare mbili katikati na mwishoni mwa wiki dhidi ya Benfica katika Klabu Bingwa Ulaya na Newcastle United katika ligi ya Uingereza.
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
November
(29)
- MANCHESTER UNITED WATUPWA NJE:CARLING CUP
- BREAKING NEWS; WANNE WAFA KWA AJALI UBUNGO
- 26th Nov; BAADHI YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA ; okoa...
- KUNA UMUHIMU GANI KWA KATIBA YETU KUANDIKWA KWA LU...
- URAIS 2015 WAWACHANGANYA WENGI:TABIRI ZA MASANGOMA...
- HOW TO STOP MASTERBATION ADDICTION
- MOTO MKUBWA WALIPUKA MITAMBO YA UMEME UBUNGO:MITAM...
- BREAKING NEWS: MAFURIKO DAR NA MWANZA
- NCHINI INANUKA:MNADHIMU MKUU WA JWTZ AKAMATWA NA I...
- FROM MOVENPICK TO DAR ES SALAAM SERENA HOTEL:KWELI...
- HIVI NDIVYO ALIVYOLAKIWA PRINCE CHARLES
- POLISI YAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA ARUSHA
- LADY GAGA ATWAA TUZO 4 ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- HUDUMA ZA MAKAMPUNI YA SIMU NCHINI NI MBOVU MNO, T...
- MISS VENEZUELA IVIAN SARCOS ATWAA TAJI LA MISS WOR...
- CHURCH OF ENGLAND OPPOSED TO SAME SEX CIVIL PARTNE...
- EID MUBARAK GREETINGS ALL MUSLIMS: READ THIS
- RAIS KIKWETE AMTEMBELEA VENGU HOSPITALI
- THE MAGICIAN PAGE: KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMB...
- KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMBISHA KICHWA MASHOGA TZ
- BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AIPINGA KAULI YA MEMBE:...
- MLIMA KILIMANJARO KAMWE HAUWEZI KUSHINDA KWA STAIL...
- WAZIRI WA MAMBO YA NJE ATOA KAULI JUU YA MISAADA Y...
- 2.2 BILIONI ZATUMIKA KUWASOMESHA WATATU TCRA NJE K...
- RAIS WA GHANA AIKATAA MISAADA TOKA UINGEREZA YENYE...
- NAMBA ZA KUUPIIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO ZATOLEWA...
- TUNATAKIWA KUUKUBALI USHOGA ILI TUONGEZEWE MISAADA...
-
▼
November
(29)
Popular Posts
-
Notorious B.I.G. AKA Christopher G. Wallace Born: 21-May - 1972 Birthplace: Brooklyn, NY Died: 9-Mar - 1997 Location of death: Los A...
-
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ameendelea kusisitiza kwamba ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harriso...
-
Meneja mawasiliano wa Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bi Badra Masoud limetoa ufafanuzi kuhusiana na matukio ya kukatika umeme ya...
-
Askofu Kakobe Mussa Juma, Loliondo na Nora Damian WAKATI idadi kubwa ya wagonjwa wakionekana kumzidi nguvu mchungaji mstaafu, Ambiliki...
-
Rais wa Ghana John Evans Atta Mills amekuwa kiongozi wa kwanza toka Africa kutoa kauli ya kutoikubali misaada toka UK yenye masharti ya kuta...
-
Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 300, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ...
-
PRESIDENT Jakaya Kikwete has warned the opposition PRESIDENT Jakaya Kikwete has warned the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
-
Ratiba ya mechi za raundi ya 16 bora imetangazwa na UEFA mchana huu na ni kama ifuatavyo Chelsea vs Napoli Arsenal ...
OTHER BLOG LIST
Wednesday, November 30, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment