WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

Popular Posts

Sunday, October 2, 2011

TUTAFIKA KWELI KWA KAULI ZA VIONGOZI? - Dr H.K Kingwangwala (MP) CCM amesema... namnukuu " Vyombo vya Habari vimetubana sana katika Uchaguzi mdogo wa igunga, tutatumia wingi wetu bungeni (CCM) kuubana huo Uhuru wao wa Habari" hivi huyu ana akili kweli? Anakijua alichosema? Nani kampa huo udoctor? Hivi chama chao huwa kina watrain jinsi ya kuongea na Media? Kweli viongozi hatuna.

No comments:

Post a Comment