WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Wednesday, February 15, 2012

ARSENAL KUVAA JEZI TOFAUTI LEO DHIDI YA AC MILAN

Timu ya Arsenal ya Uingereza inatarajiwa kuvaa jezi yenye jina DUBAI kifuani katika mchezo wa leo usiku wa hatua ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya AC Milan.
Hii inakuja baada ya wote kuwa na mdhamini mmoja ambapo huwa jezi zao zina maandishi ya Fly Emirates kifuani, Arsenal itawabidi kuvaa jezi hizo sababu wapo ugenini. Mara ya mwisho Arsenal kuvaa jezi hizo ilikuwa mwaka 2006 walipocheza na Hamburg ya Ujerumani ambao pia hudhaminiwa na kampuni hiyo ya Uarabuni.
Mchezo wa leo dhidi ya AC Milan utachezwa katika dimba la San Sirro ambapo tayari timu ya Arsenal ipo Italia tayari kwa mchezo utakaochezwa saa 4 na dakika 45 kwa saa za Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment