AKITOA TAARIFA JUU YA MASULUHISHO HAYO MSANII WA KUNDI LA WAGOSI WA KAYA AMESEMA:KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO KWA NIA NJEMA KABISA…KWANZA NAOMBA TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI KUYATEKELEZA YOTE…KUANZIA SUALA LA STUDIO YA RAIS KURUDISHWA KWA BASATA ILI IWE YA WASANII WOTE,PIA T.F.U IJIKABIDHI KWA CHAMA HALALI CHA WASANII YAANI T.U.M.A KAMA AMBAVYO TULIKUWA TUNADAI NA MPAKA ISSUE ZA WASANII KUNYANYASWA NA KUBANIWA NA PIA SUALA LA MALIPO HAFIFU VYOTE VIMEJADILIWA NA KUKUBALIWA KWA UTEKELEZAJI…HAIKUWA KAZI RAHISI,KWANZA ILIANZA KWA WAO KUMPIGIA MWENYEKITI WANGU MBOWE KUTAKA TUKAE CHINI,AMBAPO KAMANDA MBOWE ALINISHAURI TUKAE NAO CHINI KAMA KWELI WANA NIA YA KUYAMALIZA…BAADAYE WAKAMPIGIA MR SHIGONGO AMBAYE NI WAZI KUWA NI KATI YA WATU WANGU WA KARIBU NAYE BAADA YA KUONGEA NA MR. KUSAGA TU ALINIPIGIA NA KUNISHAURI HIVYO HIVYO…NA KAMA HAIKUTOSHA WAKALIFIKISHA HILI SUALA KWENYE KAMATI YA BUNGE AMBAYO ILINITAKA NIIPE MAELEZO YA KIINI CHA MGOGORO NA NIKAFANYA HIVYO AMBAPO PIA BAADA YA KUNIELEWA WAKASHAURI NIKAE NAO CHINI…NA HATIMAYE SUALA HILI LIKAISHIA MIKONONI MWA WAZIRI NCHIMBI PAMOJA NA MHE. TUNDU LISSU(MP) KUWA WAPATANISHI WETU… WAZIRI NCHIMBI AKAANZA KWA KUMUITA RUGE DODOMA NA ALIKUJA TUKAKAA KWA HATUA YA KWANZA NA HATIMAYE LEO TUKAKAA TENA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA UTAMADUNI CHINI YA DR NCHIMBI NA MHE TUNDU LISSU NA HATIMAYE TUKAFIKIA HATUA HII YA LEO…VITA YETU ILIKUWA NA HOJA HATUKUWA TUNAPIGANA TU KWA CHUKI BINAFSI KAMA BAADHI YA WATU WALIVYOKUWA WANAJARIBU KUIWEKA,KWAHIYO KAMA HOJA ZETU ZIMEELEWEKA KWA SASA TUNATAKIWA KUSHUKURU NA KUFURAHIA…LAKINI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MISIMAMO IKO PALE PALE NA NIMEWAWEKA WAZI KUWA ANTI-VIRUS ITAENDELEA KUWEPO ILI KUENDELEA KU-SCAN VIRUS WENGINE KAMA MAMENEJA MASOKO NA WENGINE WATAKAOJITOKEZA KWANI NCHI INAPOSHINDA VITA AU HATA KUFIKIA TU MAKUBALIANO YA AMANI NA NCHI ADUI YAKE HAINA MAANA NCHI HIYO INAVUNJA JESHI LAKE…ASANTENI SANA…
Mgosi Mkoloni TAARIFA: POLENI SANA WANAHARAKATI KWA MKANGANYIKO WA TAARIFA MLIOUPATA KUPITIA MITANDAO HII YA KIJAMII……LINAKUJA TAMKO RASMI ILI TAARIFA ZIWAFIKIE WANAHARAKATI WOTE DUNIANI JUU YA NINI KIMEFANYIKA NA NINI KIMEAMULIWA,PICHA NA KUPEANA MIKONO KUSIWASTUE KIASI CHA KUVUNJIKA MOYO ILA SIWALAUMU NA HII NI KWA SABABU YA KUTOPATA TAARIFA YA NINI KIMETOKEA…..NI USHINDI KWA KWENDA MBELE HATA WAONGEE NINI TAARIFA ITAKAYOTOLEWA NDIO JIBU SAHIHI KWA WANAHARAKATI WOTE……..ALUTA CONTINUA……….PAMOJA SANA!
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY
- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2012
(43)
-
▼
February
(35)
- MANDELA IN "SATISFACTORY CONDITION" AFTER OPERATION
- ARSHAVIN, SAMBA WAKIMBILIA RUSSIA
- ARSENAL & TOTTENHAM ZAONYA MASHABIKI WAKE
- WARAKA WA SIRI TOKA KWA MH. HARRISON MWAKYEMBE
- SUGU NA RUGE WAPATANISHWA
- SITTA - MWAKYEMBE KALISHWA SUMU, POLISI WANAPOTOSHA
- WIZARA YA AFYA YAMRUKA DCI MANUMBA:NI KUHUSU TAARI...
- ASAMOAH GYAN QUITS INTERNATIONAL FOOTBALL
- TAARIFA YA DKT HARRISON MWAKYEMBE KUJIBU KAULI YA ...
- WENGER TO SELL WALCOTT & OTHER 5 PLAYERS IN SUMMER...
- MAJAMBAZI YAVAMIA ENEO LA MLIMANI CITY
- MATOKEO YA MICHEZO YOTE YA EUROPA ILIYOFANYIKA JAN...
- HABARI ZILIZOPAMBA MAGAZETI YA SOKA ULAYA LEO
- HONDURAS: FIRE KILLS 300 PRISONERS IN JAIL
- KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED KITAKACHOIVAA AJAX KA...
- HABARI ZILIZOPEWA KIPAUMBELE MAGAZETI YA SOKA ULAY...
- ARSENAL KUVAA JEZI TOFAUTI LEO DHIDI YA AC MILAN
- BARCA, LYON ZAANZA VIZURI 16 BORA UEFA
- FA TO PUNISH SUAREZ
- R.I.P: WHITNEY HOUSTON 48 DIED
- WONDERFUL: PROSTITUTES IN LUSAKA OFFER FREE SEX FO...
- TAARIFA TOKA TANESCO JUU YA MGAO UNAOENDELEA
- YALIYOAMULIWA KUHUSU MADAI YA MADAKTARI:MASHARTI W...
- The list is compiled by gathering income streams f...
- MCHANGANUO WA MATOKEO KIDATO CHA NNE: DARAJA LA KW...
- WACHORA PICHA, KUANDIKA MATUSI NA VERSE ZA BONGO F...
- FABIO CAPELLO RESIGNED TO COACH ENGLAND
- UTAFITI: NUSU YA WANAUME NCHINI NI WAGUMBA
- TAARIFA MAALUM KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI TOKA JUKW...
- KAULI NA MSIMAMO WA MBUNGE jOHN MNYIKA KUHUSU MGOM...
- MADAKTARI BINGWA MUHIMBILI WAGOMA RASMI
- BARIDI INAYOENDELEA ULAYA YAUA 300
- YASEMAVYO MAGAZETI YA SOKA ULAYA LEO.
- TERRY APOKONYWA UNAHODHA ENGLAND
- MASHABIKI 74 WAFARIKI KATIKA FUJO MISRI
-
▼
February
(35)
Popular Posts
-
A massive fire has swept through a jail in Honduras, killing at least 300 prisoners, officials say. Many victims were burned or suffocated t...
-
The 5,000 sq ft home includes a saltwater pool, glassed in sunroom, outside fireplace, 5 bedrooms and 5 baths ... but no apparent grotto,...
-
PFA chief executive Gordon Taylor believes it is time for the FA to intervene after Luis Suarez and Patrice Evra failed to shake hands befor...
OTHER BLOG LIST
Tuesday, February 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment