WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Friday, February 24, 2012

ARSHAVIN, SAMBA WAKIMBILIA RUSSIA

Arshavin amejiunga na klabu yake ya zamani ya Zennit Petrsburg ya Urusi kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu, mchezaji huyo ambae alikuwa akiipigia klabu hiyo kabla ya kuhamia Arsenal amalazimika kuchukua maamuzi hayo baada ya nafasi yake katika kikosi cha kwanza kuwa ngumu klabuni hapo tangu kuwasili kwa Gevinho toka Lille mwanzoni mwa msimu, ili kujihakikishia nafasi ya kuichezea timu yake ya Taifa katika michuano ya Ulaya mwezi Juni imembidi Arshavin kufanya hivyo
Wakati huo huo beki wa klabu ya Blackburn Rivers ya Uingereza Chriss Samba amejiunga na Matajiri wa Urusi Anzhi Makachkalla kwa uhamisho wa ada ambayo haijawekwa bayana.

No comments:

Post a Comment