Nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry amepokonywa unahodha wa timu ya Taifa kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili kutokana na tuhuma za ubaguzi inayomkabili
Terry anakabiliwa na mashtaka ya kumtamkia maneno ya kibaguzi mchezaji wa QPR Anton Ferdinand mwishoni mwa mwaka jana.
Mahakama inayosikiliza kesi hiyo imeiahirisha hadi Julai 9 siku 8 baada ya fainali za EURO. Nahodha mpya anatarajiwa kutangazwa muda wowote huku Steven Gerrad akipewa nafasi kubwa
Exim Bank yatoa vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi-Moshi
58 minutes ago
No comments:
Post a Comment