WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Thursday, March 10, 2011

MILAN WATUPWA NJE YA MICHUANO, SCHAKLE NA TOTTENHAM WAUNGANA NA BARCA

AC MILAN jana walishindwa kulipa kisasi cha kufungwa goli moja na TOTTENHAM HOTSPUR wiki mbili zilizopita na kuondoshwa katika hatua ya 16 bora wakiwaacha Tottenham wakiwa klabu ya kwanza toka England kufuzu msimu huu baada ya Arsenal kutupwa nje ya michuano, huku SCHAKLE 04 nao wakiwaengua Valencia katika michuano hiyo kwa goli 3   -  1 baada ya kwenda sare katika mechi ya awali ilifanyika huko Hispania. Wednesday action
Ricardo Costa wa Valencia akishangilia goli la kwanza dhidi ya Schakle 04

 Wednesday action
Schakle wakishangilia goli la kusawazisha dhidi ya Valencia
 Wednesday action
Farfan akifunga goli la pili dhidi ya Valencia

 Wednesday action
Golikipa wa Schakle 04 Manuel Neuer akishangilia baada ya mchezo
 Wednesday action
Robinho  katika hekaheka golini mwa Tottenham Hotspur
 Wednesday action
Zlatan Ibrahimovic katika hekaheka
 Wednesday action
Golikipa Gomez akiokoa mpira wa hatari toka kwa Pato
 Wednesday action
Van der Vaat katika purukushani golin mwa AC MILAN
 Wednesday action
Robinho akikabana na Luke Modric
 Wednesday action

Gareth Bale akishangilia baada ya mchezo



No comments:

Post a Comment