WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Tuesday, March 15, 2011

PICHA BOMBA ZA WANAMICHEZO BORA WA MUONGO ULIOPITA KATIKA MATUKIO

 Decade in pictures
Beckham akishangilia goli lililoiondoa Argentina katika 16bora za World Cup 2002
 Decade in pictures
Beckhamakimpa moyo David Seaman baada ya kuondoshwa na Brazil katika robo fainali World Cup 2002
 Decade in pictures
Beckham akipaisha penalti dhidi ya Ureno katika EURO 2004
 Decade in pictures
Fabio Cannavaro na kombe la dunia aliloshinda na kikosi cha ITALY 2006
 Decade in pictures
Mchezaji Dean Windass mwenye miaka 39 akifunga goli liliwasaidia Hull City kupanda ligi kuu ya England 2008
 Decade in pictures
Tottenham Hotspur wakishangilia baada ya kushinda Carling Cup final dhidi ya Chelsea, 2008
 Decade in pictures
Messi akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Man Utd katika fainali 2009
 Decade in pictures
Ronaldo de Lima akishangilia goli dhidi ya Germany 2002
 Decade in pictures
Steve Mclarren akiwa amepozi baada ya Enland kushindwa kufuzu EURO 2008
 Decade in pictures
Thiery Henry na Robert Pires  wa ARSENAL wakiwa na kombe waliloshinda msimu wa 2003/4 bila kupoteza mchezo hata 1
 Decade in pictures
Lennox Lewis akimtwanga Mike Tyson kwa knockout katika raundi ya 8, 2002
 Decade in pictures
Tiger Woods akiwa na kombe lake la US Open 2008 aliloshinda licha ya kuwa alikuwa akiumwa goti
 Decade in pictures
Man Utd wakishangilia ubingwa wa UEFA 2008 huko Moscow, Russia
 Decade in pictures
Rooney akishangilia baada ya Man Utd kutwaa ubingwa wa Uefa 2008
 Decade in pictures
John Terry wa Chelsea akikosa penalti dhidi ya MAN Utd katika Champions League final 2008
 Decade in pictures
Zidane akitoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya ITALY 2006
 Decade in pictures
Zidane akimtwanga Materazi kichwa katika World Cup Final 2006
 Decade in pictures
Michael Phelps akishangilia baada ya kuweka rekodi ya kutwaa medali 8 za dhahabu katika michuano ya olompiki 2008
 Decade in pictures
Ronaldo na Rivaldo wakishangilia ushindi wa World Cup 2002 huko JAPAN
 Decade in pictures
Ricky Hatton akipewa kichapo na Floyd Maywether mwaka 2007
 Decade in pictures
Beckham akishangilia goli la free kick dakika za mwishoni dhidi ya Greece lililowapa nafasi ya kushiriki World Cup 2002
 Decade in pictures
Lewis Hamillton dereva mdogo zaidi kushinda mbio za Formula 1 duniani, 2008
 Decade in pictures
Moja ya matokeo ya kushangaza ilikuwa ni England kuchapwa 5 - 1 na Germany 2001
 Decade in pictures
Raphael Nadal wa Spain moja ya wachezaji bora wa TENNIS
 Decade in pictures
Liverpool wakishangilia ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2005
 Decade in pictures
Jerzy Dudek akiokoa penalti ya Adrily Shevchenko wa AC Milan wakati huo
 Decade in pictures
Roger Federer mchezaji TENNIS wa Uswisi
 Decade in pictures
Usain Bolt wa JAMAICA katika Olimpiki aliweka rekodi ya dunia kwa mita 100 na 200
No comments:

Post a Comment