WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Thursday, March 3, 2011

MGOMO WA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WAMUOKOA JERRY MURO

   Sakata la kuzuiwa kufanya mitihani ya chuolililokuwa likimkabili Jerry Muro katika chuo cha Tumaini limechukua sura mpya baada ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Tumaini wa shahada ya mawasiliano ya umma kugoma kufanya mitihani ya chuo kwa muda hadi swala la mwanafunzi mwenzao Jerry Muro litakapopatiwa ufumbuzi

                Jerry Muro pichani akisubiri kumalizwa kwa sakata lake ili aweze kuendele na mitihani ambapo ilibidi Deputy Provost of Academic wa chuo hicho Prof Minjas kuingilia kati sakata hilo na kulimaliza na mitihani ikaendelea kama kawaida       















   Picha za chini zikionyesha Provost of Academic Affairs WA Chuo Kikuu Cha Tumaini na baaadhi ya waalimu a chuoni hapo wakiteta jinsi ya kutatua tatizo hilo

     
  Hapa Prof. Minjas akizungumza na Class Representative wa darasa analosoma Jerry Muro akimsihi awaeleze wanafunzi wa darasa hilo kuendelea na mitihani kama kawaida akiwamo Jerry.
        pichani wakiendelea na mazungumzo

   Halikuwa jambo rahisi ila busara zilitumika na mwishoni mambo yalienda sawa na mitihani ikaendelea kama kawaida ambapo amekosa mtihani mmjoa tu na mazungumzo juu ya swala lake yakiendelea ambapo jambo kubwa linalowafanya kumzuia kufanya mitrihani ni taratibu za chuo ambazo zinakataza mwanafunzi mwenye kesi mahakamani kuendelea na masomo hadi swala lake litakapomalizika huku pakionekana palikuwa na makosa toka mwanzo walipompokea na jambo hilo likitawaliwa na maslahi binafsi.

No comments:

Post a Comment