WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Monday, March 14, 2011

MAN UTD YAMALIZIA HASIRA ZAKE KWA ARSENAL KATIKA FA CUP

Timu ya Manchester united jana ilimaliza balaa la kufungwa mechi mbili mfululizo katika ligi kuu ya England baada ya kuiangushia Arsenal kipigo cha goli 2  kwa 0 katika robo fainaliya kombe la FA na kuifungisha virago ambapo sasa Arsenal wamebakiza mategemeo yao katika kombe la Ligi ambapo wanfukuzana na Man UTD kwa karibu wakiwa na pointi 57 na mchezo mmoja mkononi dhidi ya MAN wenye point 60 baada ya michezo 29 wakiwa wamepoteza michezo mitatu hadi sasa na miwili ikiwa ya wiki iliyopita ambapo ilifungwa michezo miwili mfululizo na Chelsea na Liverpool.

Angalia matukio pichani
 Saturday FA Cup
Van der sir akishangilia ushindi
 Saturday FA Cup
Rooney na Chicharito wakishangilia goli la pili
 Saturday FA Cup
Rooney akifunga goli la pili dhidi ya Arsenal
 Saturday FA Cup
O'shea, Smalling na Evra wakimpongeza Fabio baada ya kufunga goli la kwanza
 Saturday FA Cup
Beki wa Arsenal akimdhibiti Fabio
 Saturday FA Cup
Chicharito akimtoka Gibbs wa Arsenal
 Saturday FA Cup
Rooney akimtazama Chicharito akikabana na Denilson
 Saturday FA Cup
Alex Ferguson akitabasamu baada ya ushindi
 Saturday FA Cup
Van Persie akipiga faulo dhidi ya Man Utd

Saturday FA CUP

No comments:

Post a Comment