WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Tuesday, March 1, 2011

MAMBO YAENDELEA KUDODEA JERRY MURO

Katika hali isiyo ya kawaida Chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es Salaam wamemzuia kufanya mitihani kwa kutomtambua huku  akidai yeye ni mwanafunzi halali wa chuo hicho na alipelekwa kihalali chuoni hado na taasisi ya udahili TCU, katika hali isiyo ya kawaida Jerry Muro amezuiwa kufanya mitihani siku ya leo iliyokuwa ikiendelea kutokna na tatizo hilo huku akidai wamemzuia kwa sababu za kisiasa. hakuweza kupatikana

kuzungumzia sakata hili

No comments:

Post a Comment