Katika hali inayoonekana wanfunzi wa chuo cha Usimamizi wa fedha kutoridhishwa na kitendo cha wenzao kuzuiwa kufanya mitihani ya chuo iliyokuwa ianze jana tarehe 28 mwezi wa pili, wameendelea na mgomo wao na kusisitiza wenzao waruhusiwe kufanya mitihani hiyo bila kikwazo ambapo uongozi wa chuo umeiahirisha hadi wiki ijayo.
TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment