Timu ya Liverpool na Manchester City zimeonja chungu ya kufungwa ugenini baada ya kupoteza michezo yake ya Europa League hapo jana. Liverpool ilipoteza kwa goli 1 - 0 dhid ya Braga kwa mkwaju wa penati na Machester City ikichapwa 2 - 0 na Dynamo Kiev ya Ukraine huku goli la kwanzalikipachikwa na mkali wa siku nyingi wa AC Milan na Chelsea Andrily Shevchenko

![]() | ||
Kocha wa Man City Roberto Mancini akisikitika baada ya timu yake kufungwa 2 - 0 na Kiev |
![]() |
Shevchenko akifunga goli la kwanza dhidi ya Man City |
![]() |
Andrily Shevchenko akishangilia Goli la kwanza dhidi ya Man City |
![]() |
Mario Balotelli katika hekaheka dhidi ya mchezaji wa Dynamo Kiev |
![]() |
Golikipa wa Braga akishangilia ushindi wa goli 1 - 0 dhidi ya Liverpool |
![]() |
Caroll akiwa na Dirk Kuyt |
![]() |
Mchezaji wa Braga akifunga goli la penati dhidi ya Liverpool |
![]() |
Glen Johnson katika hekaheka |
![]() |
Joe Cole akijaribu kumpita mchezaji wa Braga |
![]() |
Andy Carrol wa Liverpool akiwa benchi akifuatilia mchezo dhidi ya Braga |
No comments:
Post a Comment