WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Monday, March 14, 2011

NI MAN UTD NA MAN CITY NUSU FAINALI YA FA CUP

Draw ya kupanga michezo ya FA imewakutanish tena mafahali wawili wa jiji la Manchester katika nusu fainali ya kombe la FA itakayofanyika hapo baadae baada ya MAN CITY hapo jana kushinda kwa goli 1 kwa 0 dhidi ya Reading, timu hizo katika mechi saba za hivi karibuni Man Utd imeshinda mara tano na Man City ikishinda michezo miwili, mara ya mwisho kwa timu hizi kukutana katika kombe la FA ilikuwa mwaka 2004 ambapo MAN UTD ilililaza MAN CITY. Sunday FA Cup
Tevez akiwa katika hekaheka
 Sunday FA Cup
Mchezaji wa Reading akijaribu kufunga goli dhidi ya Man City
 Sunday FA Cup
Shane Long wa Reading na Nigel de Jong wa Man City katika hekaheka
 Sunday FA Cup
Wachezaji wa Man City wakishangilia Goli
 Sunday FA Cup
Kocha wa Man city Roberto Mancini akiwahimiza wachezaji wake hapo jana
 Sunday FA Cup
Wachezaji Man CITY WAKISHEREKEA ushindi baada ya Mechi kumalizika



Sunday


No comments:

Post a Comment