WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Tuesday, March 15, 2011

NANI AREJEA KUIPA NGUVU MAN UTD DHIDI YA MARSEILE

     Winga  wa Manchester United Luis Nani aliyekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mguu baada ya kuchezewa rafu na beki wa Liverpool Jammie Caragher katika mechi ya ligi ya Uingereza wiki iliyopita amerejea mazoezini katika kuongeza nguvu katika mechi ya Champions League hatua ya 16 bora itakayopigwa leo katika dimba la Old Trafford jijini Manchester. Nani alikosa mchezo wa wikiendi dhidi ya Arsenal na ameonyesha maendeleo mazuri ambapo leo anaweza kuanza sambamba na Valencia aliyerejea katika mechi dhidi ya Arsenal. Man Utd training
Fabio, Rooney na Wes Brown wakiwa Mazoezini
 Man Utd training
Giggs, Berbatov na Gibson wakiwa katika maandalizi ya mechi
 Man Utd training
Javier Hernandez "Chicharito", Smalling, Fabio na Obarten mazoezini
 Man Utd training
Giggs na Berbatov wakiwa mazoezini
 Man Utd training
Smalling akitabasamu
 Man Utd training
"Dogo leo ukaze" Smalling akiongea na Valencia
 Man Utd training
Rooney akijifua tayari kwa mechi dhidi ya Marseile
 Man Utd training

Nani na Valencia katika mazoezi


No comments:

Post a Comment