WELCOME

MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED

MY DIARY

My photo
Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE

RONNIE DOCOMENTARY

Popular Posts

Wednesday, March 9, 2011

PICHA ZA GIGGS SHUJAA WA KIHISTORIA WA MANCHESTER

 Sunday
Giggs ameweka rekodi ya kucheza michezo 606 katika mechi dhidi ya Liverpool katika ligi kuu ya England katika klabu ya Man Utd .
 Twenty years of Giggs
Akisaini mkataba mpya wa kuichezea Man 2011/12
 Twenty years of Giggs
Giggs ana rekodi ya kipekee ya kufunga nmagoli kila msimu toka 1991-92 hadi sasa,  January  2011 na Birmingham

 Twenty years of Giggs
Giggs akishangilia goli sambamba na Scholes na Fletcher msimu wa 2010
 Twenty years of Giggs
Akiwa na huzuni sambamba na Scholes baada ya kipigo dhidi ya Barca  katika fainali ya UEFA 2008/2009
 Twenty years of Giggs
Giggs akiwa na kombe msimu wa 2009 baada ya kushinda kwa mara ya tatu mfululizo
 Twenty years of Giggs
Giggs akifunga goli dhidi ya Middlesbough msimu wa 2009
 Twenty years of Giggs
Akiwa na Tuzo ya mchezaji bora wa BBC wa mwaka 2009
 Twenty years of Giggs
Giggs akikabidhiwa zawadi ya saa na Bobby Charlton baada ya kuvunja rekodi yake ya mechi nyingi  katika UEFA 2008 huko Moscow
 Twenty years of Giggs
Hapa akifunga penalti dhidi ya Petr Czech wa Chelsea katika CHAMPIONS LEAGUE 2008
 Twenty years of Giggs
Hapa akilibusu kombe la CHAMPIONS LEAGUE 2008
 Twenty years of Giggs
Giggs na Ferdnand wakinyanyua juu kombe la CHAMPIONS LEAGUE msimu wa 2008
 Twenty years of Giggs
Giggs akifunga goli muhimu dhidi ya Wigan lililoisaidia Man Kushinda Ubingwa wa Ligi 2008
 Twenty years of Giggs
Hapa akimwagiwa SHAMPENI
 Twenty years of Giggs
Giggs akishangilia Ubingwa wa ligi 2007 na wachezaji wa Man Utd
 Twenty years of Giggs
Giggs akifunga goli dhidi ya Fulham msimu wa 2007
 Twenty years of Giggs
Giggs, Scholes na Rooney wakishangilia goli alilofunga dhidi ya LILLE katika UEFA msimu wa 2006-07
 Twenty years of Giggs
Giggs akikabidhiwa Tuzo ya OBE na Malkia Elizabeth 2007
 Twenty years of Giggs
Giggs na Babu wakiwa na Tuzo ya mchezo bora wa mwezi na kocha bora kwa Babu
 Twenty years of Giggs
Giggs na Babu wakiwa na kombe la Carling huko Cardiff msimu wa 2006
 Twenty years of Giggs
Hapa akiwa na kombe la FA katika msimu wa 2004
 Twenty years of Giggs
Giggs na Babu wakiwa wamekamatia vitu tayari kusherekea
 Twenty years of Giggs
Giggs, Fednand, Brown na Sylvestre wakiwa na kombe la ligi msimu wa 2003
 Twenty years of Giggs
Miongoni mwa magoli ya wazi aliyokosa katika historia ni goli dhidi ya Arsenal katika FA Cup msimu wa 2003
 Twenty years of Giggs
Alichaguliwa kuwa mchezaji bora msimu wa 2001
 Twenty years of Giggs
Giggs akishangilia goli la kwanza katika nusu fainali ya Uefa Champions msimu wa 1999
 Twenty years of Giggs
Hapa akishangilia Ubingwa na mashabiki msimu wa 1999
 Twenty years of Giggs
Giggs akishangilia goli dhidi ya Arsenal katkia nusu fainali ya  kombe la FA mwaka 1999
 Twenty years of Giggs
Msimu wa 1997 wakiwa na kombe sambamba na wakongwe kama Eric Cantona, Roy Keane, Phil Neville, Gary Neville na Nick Butt
 Twenty years of Giggs
Hapa mmmh alikuwa housegirl nini? akiwa na Paul Scholes wakipaka Gahawa
 Twenty years of Giggs
Giggs, Irwin, Sharpe na Pallister wakishangilia mafanikio
 Twenty years of Giggs
Giggs na Beckham wakimkaba Mark Letisier katika mechi ambayo Man walipoteza kwa 3  -  1 dhidi ya Southampton
 Twenty years of Giggs
Giggs akishangilia goli dhidi ya Manchester City lililowapa kombe msimu wa 1996
 Twenty years of Giggs
Giggs akisikitika katika msimu wa 1995 ambapo Man walipoteza Ubingwa wa ligi dhidi ya Blackburn na FA dhidi ya Everton
 Twenty years of Giggs
Giggs, Lee Sharpe na Ferguson katika msimu wa 1994
 Twenty years of Giggs
Giggs na Paul Ince wakishangilia goli msimu wa 1993
 Twenty years of Giggs
Giggs akiwa ameshikilia kombe katika msimu wa 1992
 Twenty years of Giggs
Giggs akiwa Captain katika kikosi cha Man mwaka 1992 walipochukua kombe la FA
 Twenty years of Giggs
Mechi ya kwanza ya Giggs dhidi ya Everton msimu wa 1990-91
 Twenty years of Giggs
Toka enzi za SHARP babu yupo

No comments:

Post a Comment