Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe ametoa kauli ya kupinga kuikubali misaada yenye masharti ya kuzitambua haki za mashoga kama serikali ya Uingereza kupitia waziri wake mkuu David Cameron na Waziri wa mahusiano wa Kimataifa Andrew Mitchel walivyotoa kauli hiyo kwa nchi za Africa huku wakitishia kusitisha misaada kwa nchi zitakazokiuka.
Membe akizungumza na waandishi wa habari mapema leo saa 5 na nusu amesema kamwe Tanzania haiwezi kukubaliana na masharti yaliyotolewa na Serikali ya Uingereza huku akisema watanzania wamezoea kushinda njaa hivyo hata kama wakitunyima misaada yao tutasonga mbele. Kauli hiyo imekuja baada ya jana Rais wa Ghana John Evans Atta Mills akipinga pia masharti hayo moja kwa moja
Aliongeza kwa kusema wiki tatu zilizopita palikuwa na ugeni toka nchini Uingereza ulikuwa ufike hapa nchini ukiongozwa na Balozi ambae amemuoa mwanaume mwenzie na wanaishi kinyumba kama mume na mke na yeye alipofikisha habari hizo kwa Rais alizipinga kabisa japo Balozi wa nchi hiyo hapa nchini akisisitiza ujio huo usingeathiri lolote.
Safi sana Mh. Membe tunataka kauli kama hizi
WELCOME
MAY GOD BLESS YOU ALL FOR VISITING THIS SITE, A HOPE YOU WILL ENJOY EVERYTHING YOU GET HERE AND IF THERE Z ANYTHING BORING OR SHALLOW LEAVE COMMENTS PLEASE.
BE BLESSED
BE BLESSED
MY DIARY

- RONALDTHEGREAT
- Dar es Salaam, Tanzania, Tanzania
- FRIEND TO EVERYONE AND I BELIEVE EVERYTHING IS POSSIBLE
RONNIE DOCOMENTARY
-
▼
2011
(157)
-
▼
November
(29)
- MANCHESTER UNITED WATUPWA NJE:CARLING CUP
- BREAKING NEWS; WANNE WAFA KWA AJALI UBUNGO
- 26th Nov; BAADHI YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA ; okoa...
- KUNA UMUHIMU GANI KWA KATIBA YETU KUANDIKWA KWA LU...
- URAIS 2015 WAWACHANGANYA WENGI:TABIRI ZA MASANGOMA...
- HOW TO STOP MASTERBATION ADDICTION
- MOTO MKUBWA WALIPUKA MITAMBO YA UMEME UBUNGO:MITAM...
- BREAKING NEWS: MAFURIKO DAR NA MWANZA
- NCHINI INANUKA:MNADHIMU MKUU WA JWTZ AKAMATWA NA I...
- FROM MOVENPICK TO DAR ES SALAAM SERENA HOTEL:KWELI...
- HIVI NDIVYO ALIVYOLAKIWA PRINCE CHARLES
- POLISI YAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA ARUSHA
- LADY GAGA ATWAA TUZO 4 ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- JESHI LA TANZANIA LAKAMATA WANAJESHI 20 WA CONGO N...
- HUDUMA ZA MAKAMPUNI YA SIMU NCHINI NI MBOVU MNO, T...
- MISS VENEZUELA IVIAN SARCOS ATWAA TAJI LA MISS WOR...
- CHURCH OF ENGLAND OPPOSED TO SAME SEX CIVIL PARTNE...
- EID MUBARAK GREETINGS ALL MUSLIMS: READ THIS
- RAIS KIKWETE AMTEMBELEA VENGU HOSPITALI
- THE MAGICIAN PAGE: KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMB...
- KAULI YA DAVID CAMERON YAWAVIMBISHA KICHWA MASHOGA TZ
- BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AIPINGA KAULI YA MEMBE:...
- MLIMA KILIMANJARO KAMWE HAUWEZI KUSHINDA KWA STAIL...
- WAZIRI WA MAMBO YA NJE ATOA KAULI JUU YA MISAADA Y...
- 2.2 BILIONI ZATUMIKA KUWASOMESHA WATATU TCRA NJE K...
- RAIS WA GHANA AIKATAA MISAADA TOKA UINGEREZA YENYE...
- NAMBA ZA KUUPIIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO ZATOLEWA...
- TUNATAKIWA KUUKUBALI USHOGA ILI TUONGEZEWE MISAADA...
-
▼
November
(29)
Popular Posts
-
Ifuatayo ni orodha ya matukio ambayo hayataweza kusahaulika katika mwaka 2011. Matukio haya yamekuwa na rekodi za kipekee jambo ambalo limef...
-
I wanna take this opportunity as the owner of this Blog/Page to wish all of my fans and friends who visit here every now & then a MERRY...
-
Mashabiki 74 wamepoteza maisha yao jana mjini Port Said nchini Misri katika mchezo uliozikutanisha timu za Al Masry dhidi ya timu inayoongoz...
-
Before you make an attempt to stop masturbating, there’s an important issue to deal with first. This issue is important because masturbatio...
-
Kutokana na mvua kubwa zinazoambatana na Radi zinazoendelea katika jiji la Dar es salaam toka mishale ya saa 10 alfajiri, zimesababisha kuka...
-
Facebook is a social networks that links and create friendship and networking to many people worldwide, but some of illiterate people start ...
-
Majambazi yaliyokuwa na silaha nzito yamevamia katika kituo cha mafuta cha TOTAL kilichopembeni ya Mlimani City Supermarket na kupora mamili...
-
How to Get Over a Crush: Ten Sensible Tips Things You Can do to help the situation Most everyone has at one time or another had someone th...
-
Mvua iinayoendelea kunyesha ndani na nje ya jiji toka mishale ya saa kumi alfajiri zimezua balaa katika maeneo mengi ya Jiji la Dar es salaa...
OTHER BLOG LIST
Thursday, November 3, 2011
WAZIRI WA MAMBO YA NJE ATOA KAULI JUU YA MISAADA YENYE MASHARTI YA KUUKUBALI USHOGA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment